Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Kitu cha puchuHivi hayo mabafu yooote wanafanyiaga nini? Uswazi bafu moja na choo kimoja watu nyomi na tunatosha.
[emoji28][emoji28]Huku kwetu matajiri ni wachafu wachafu tu sura zimefubaa utafikiri basi la mwendamseke.
Kumbe bank ana mabilioni ya pesa.
Tumia pesa uifurahie.
Mabafu ni muhimu sheikh, kila chumba lazima kiwe na bafu plus mabafu ya wasioishi hapo ambao hawatakiwi kutumia mabafu ya vyumbani[emoji28][emoji28].Hivi hayo mabafu yooote wanafanyiaga nini? Uswazi bafu moja na choo kimoja watu nyomi na tunatosha.
Kununua majumba ya kifahari kama hayo sio kupoteza hela,hayo majumba na ardhi yake baada ya miaka 5 yanapanda bei zadi ya aliyonunulia,kwahiyo bado anajitahidi kuwekeza,ila hela ya ngumi ni ngumu sana,unapata pesa kwa kupigwa hii ni hatari sana,pamoja na kuwa anashinda lakini kuna ngumi ambazo zinampata na hata kumhatarishia maisha yake,cha kujifunza ni kuwa hakuna pesa rahisi...
Kuna Siri kubwa Sana Kwa hawa watu wanaoitwa mastaa , na hzo Mali na magar wanayotambiana ....!!! Ukitaka kukimbizana nao utauza uhai brother ...!! Hata hvyo maisha yenyewe mafupi so sometime unaevaluate risk na profit then unachukua maamuz..!! At the end usije laumu mtuHivi hayo mabafu yooote wanafanyiaga nini? Uswazi bafu moja na choo kimoja watu nyomi na tunatosha.
Miye nikimbizane nae huyo kaka kweli unasema au unatania.Miye maisha ya Ambaruth tuu ya kwenye Instagram yananotoa jasho.Kuna Siri kubwa Sana Kwa hawa watu wanaoitwa mastaa , na hzo Mali na magar wanayotambiana ....!!! Ukitaka kukimbizana nao utauza uhai brother ...!! Hata hvyo maisha yenyewe mafupi so sometime unaevaluate risk na profit then unachukua maamuz..!! At the end usije laumu mtu