Na ukizipata tunakuja kuzikamua kwenye tozo bila kusahau ukurudi tu TRA watahamia nyumbani kwako wakiwa na kila aina ya calculator.Dah hizi hela hizi,ngoja na mimi nijitoe muhanga nipigane naye,najua pamoja na kuwa ntapigwa angalau hapo sikosi milioni 300...
Kumbe uyu jamaa anaweza kuizamini simba jamani simba si unathamani ya billion 20
50/50[emoji1787][emoji1787]Na huyo mjapani kajipatia kiasi gani?
Mkuu, jamaa anajua! usimchukulie poa! fikiria mapambano 50 na yote ameshinda, sio mchezo.Jamaa kashinda lakini mh hamna kitu kwa uchezaji ule?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nilibahatika kiliona lile na Manny Pacquiao niseme tu ALIBEBWA. Nataman leo pale ukumbini Pacman angeomba rematch. Inawezekana mengine aliyoshinda kwa points alikua akibebwa kama hilo na PacmanMkuu, jamaa anajua! usimchukulie poa! fikiria mapambano 50 na yote ameshinda, sio mchezo.
Tatizo kaburini hakuna matumizi ya fedhaDah hizi hela hizi,ngoja na mimi nijitoe muhanga nipigane naye,najua pamoja na kuwa ntapigwa angalau hapo sikosi milioni 300...
Mimi nilikuwa team pac man! Lile pambano ukiangalia kiufundi pacman alipiga ngumi nyingi lakini hazikuwa za point.Nilibahatika kiliona lile na Manny Pacquiao niseme tu ALIBEBWA. Nataman leo pale ukumbini Pacman angeomba rematch. Inawezekana mengine aliyoshinda kwa points alikua akibebwa kama hilo na Pacman
Jamaa ni mzuri kweli lkn jinsi alivyokua akirusha konde na kumkosa mjapani hadi na yeye linamfanya amwinamie mwenzake akiacha uso waziMkuu, jamaa anajua! usimchukulie poa! fikiria mapambano 50 na yote ameshinda, sio mchezo.
kubebwa kwenye ngumi sio jambo rahisi maana kama angekua mzembe angetandikwa moja akazima,ila kama anabebwa anabebeka huyo ni mkaliNilibahatika kiliona lile na Manny Pacquiao niseme tu ALIBEBWA. Nataman leo pale ukumbini Pacman angeomba rematch. Inawezekana mengine aliyoshinda kwa points alikua akibebwa kama hilo na Pacman
Kubebwa ni rahisi bana kwenye ngumi. Kwani ule usemi kua ukitaka kushinda ngumi utangazwe mshindi nyumbani kwa mpinzani wako basi huna budi kupiga KO ulianzia wapi ? Si ni kwenye hizi hizi mambo za kubebana?kubebwa kwenye ngumi sio jambo rahisi maana kama angekua mzembe angetandikwa moja akazima,ila kama anabebwa anabebeka huyo ni mkali