Looser
Tatizo kaburini hakuna matumizi ya fedha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kaburini hakuna matumizi ya fedha
sasa hiyo kufika roundi ya mwisho sio jambo dogo kwenye ngumi,maana kama kilaza unatandikwa round ya kwanza ,ukiona mtu kabebwa akabebeka huyo ni mkali sana,kwahiyo usiseme rahisi sanaKubebwa ni rahisi bana kwenye ngumi. Kwani ule usemi kua ukitaka kushinda ngumi utangazwe mshindi nyumbani kwa mpinzani wako basi huna budi kupiga KO ulianzia wapi ? Si ni kwenye hizi hizi mambo za kubebana?