Floyd Mayweather ashinda pambano la dakika 9 na kuondoka na Tsh. Bilioni 46.9

Kubebwa ni rahisi bana kwenye ngumi. Kwani ule usemi kua ukitaka kushinda ngumi utangazwe mshindi nyumbani kwa mpinzani wako basi huna budi kupiga KO ulianzia wapi ? Si ni kwenye hizi hizi mambo za kubebana?
sasa hiyo kufika roundi ya mwisho sio jambo dogo kwenye ngumi,maana kama kilaza unatandikwa round ya kwanza ,ukiona mtu kabebwa akabebeka huyo ni mkali sana,kwahiyo usiseme rahisi sana
 
Ile game jamaa katulia fresh kifupi May yuko vema kwenye ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…