Floyd Mayweather asilimu na kuwa muislamu.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mwanamasumbwi asiyepigika, Floyd Joy Money Mayweather hatimaye asilimu na kuwa muislamu.

Floyd amechukua uamuzi huo mara baada ya kufanya utafiti wa kina na kugundua uislamu ndio dini ya haki na ndio dini ya kweli.

Floyd anaungana na wanamasumbwi wengine kama vile Mike Tyson, na Muhammad Alli ambao nao waliamua kusilimu na kuwa waislamu.

TAKBEEER .
 
Hakuwa mkristo Bali alikuwa na jina la kikristo.ukristo ni kujikana kwa ajili Yesu na kuacha kutenda dhambi kwa makusudi.
 
Ndani ya mwezi huu Ulimwengu umesimama kwa watu wawili maarufu Duniani Kuslmu na kuingia Dini ya Kiislamu.
1.Tyres now a muslmu
2. Maywether now a Muslmu
.............Continuer
 
. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
 
Tangu lini Floyd na Conor wakawa marafiki?

Conor ni mbaguzi sana ,kuanzia rangi, dini, mpaka utaifa.

Na bifu kubwa liliibuka kati yake na Khabibu kwa sababu ya kuutukana uislamu.
Conor jeuri yote alinunuliwa na May, akalipwa chake hata alivyopigwa na May. Akaendeleza kanuni kununua game UFC.
Hapa alikutana na kigongo tu ndo mana kapigwa kitoto tu anaongea sana. Alafu khabib hakukubali kununuliwa ndo hasira yote ile Conor kutupa matorori mara viti kwa gari ya kabibh.
Kisha kamalizwa kizembe tu mpk kaomba pooh.
Khabib katukaniwa babake marehem kafanyiwa kila dhihaka alisema TU mleteni huyu champion wenu atakula vibao shot kulia, shot kulia
Na mwambieni arudi kwenye boxing huku tutamvunja.
Ndo reaction ile, na Conor alichapwa mpk kajinyea pale. Na biff likaendelezwa kwa makochi na wapambe.
Na Connor akala ngumi pia vile vile za kushtukiza pale ulingoni toka kwa wana khabibh.
Ndo ujue we ukijua sana kuna wanaojua zaidi.
Usilete ufala,ufarani,ukapata ufara ukauliza ufarani kilo wapi ukaletewa ufara tena.
Chuga mpoo😂😂😂
 
Ndani ya mwezi huu Ulimwengu umesimama kwa watu wawili maarufu Duniani Kuslmu na kuingia Dini ya Kiislamu.
1.Tyres now a muslmu
2. Maywether now a Muslmu
.............Continuer
Ayatul munafiki thalatha...mnafiki siku zote akisema basi ni uongo na akiahidi basi hatekelezi

Tyres juzi tu hapa mke wake amejifungua mtoto na kutwa nzima alikuwa ana mtaja Jesus na kumsifu sasa wewe taarifa hizi umezitoa wapi

Mayweather hajawai kusema amebadili dini ni uongo na unafiki yaani kwakutuwekea ivyo vipicha kavaa kanzu ndio tuamini amekuwa mwislamu
Yupo huko middle east katika campaign zake za kibiashara na kutalii ndio akatembelea huo msikiti
Ukiingia kwenye Insta page yake utaona mpaka jina ameutaja
 
Aisee ulitembea mkong'oto uwanjani... Khabib alikuwa na hasira sana... Alitamani ile game iishe kwa kumpiga jamaa na asinyanyuke tena
 
tafadhali Sheikh wangu tusiitane Wanafiki, huko unapozitoa wewe taarifa kwenye hivyo vyanzo vya habari na sisi pia tunazitoa huko huko, kama ni wanafiki basi sote mimi na wewe ni wanafiki tu.
 
tafadhali Sheikh wangu tusiitane Wanafiki, huko unapozitoa wewe taarifa kwenye hivyo vyanzo vya habari na sisi pia tunazitoa huko huko, kama ni wanafiki basi sote mimi na wewe ni wanafiki tu.
Weka chanzo basi sio mapicha mapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…