Floyd Mayweather asilimu na kuwa muislamu.

Floyd Mayweather asilimu na kuwa muislamu.

hatimaye asilimu na kuwa muislamu.

amesilimu na kuwa muislamu

kwani unaweza kusilimu na kuwa M-hindu au Myahudi?

jikite kwenye shule kwanza, ujue kuandika, ku make sense, ndio ufakamie maushabiki ya kidini
 
Tuanzie hapa, unajua/unaelewa maana ya kusilimu?
amesilimu na kuwa muislamu

kwani unaweza kusilimu na kuwa M-hindu au Myahudi?

jikite kwenye shule kwanza, ujue kuandika, ku make sense, ndio ufakamie maushabiki ya kidini
 
2....Tyres nenda kwenye post yake ya tareh 22 to 23 ya September
Ficha umbulula wako au kwa vile English inakupiga chenga ni sehemu katika statement yake aliposema amebadili dini na kuwa Muslim

Zaidi ya kusema hii ndio siku yake ya kwanza kuingia msikitini na kufundishwa jinsi ya kuswali na mafundisho mengine ya kiislam yeye amekuzwa katika imani ya kikristo hivyo hiyo ni siku moja ya mabadiliko katika maisha yake
Anawapenda wanaume na wanawake wa kiislamu

Kitu alichokuwa anataka Tyres ndio kilichokukuta wewe kutengeneza attention, wenzetu kwa stage waliyofika wanapenda kujifunza mambo mapya hasa wanapokuwa maeneo mapya lazima waendane nayo hivyo hapo kama aliwakejeli tu kuonyesha yupo pamoja na nyingi ili zile propaganda zenu ziendeleee

Nb:najua Tyres anaweza kubadilisha dini kwa mapenzi yake lakini sio kwa hiyo post yake unayoisema, mimi mwenyewe nimeshaingia na kukaa msikitini na kuswali mara kadha kutokana na campan yangu tena tulikuwa tunakaa msikitini pale Tambaza enzi 90's izo tupo Advance au wewe ujawahi kuingia kanisani
 
Umeona sasa hata kuandika tu kunakupa tabu.

Tangu lini njeo ikakaa mwanzoni mwa neno?

"najua"[emoji777]

"ninajua"[emoji818]

Nilidhani unatoa maana tofauti ya kusilimu, kumbe ni kama nilivyosema, kuingia Uislamu.

Ingetosha kusema "Mayweather amesilimu.''

Ukiona mtu anasema "amesilimu na kuingia Uislamu" ujue shule changamoto.
 
Mbona Tyrese alivyoenda kutalii dubai haujaja na uzi na yeye kasilimu?
TYRESe.jpg

TYRESe1.jpg

TYRESe3.jpg
 
Mwanamasumbwi asiyepigika, Floyd Joy Money Mayweather hatimaye asilimu na kuwa muislamu.

Floyd amechukua uamuzi huo mara baada ya kufanya utafiti wa kina na kugundua uislamu ndio dini ya haki na ndio dini ya kweli.

Floyd anaungana na wanamasumbwi wengine kama vile Mike Tyson, na Muhammad Alli ambao nao waliamua kusilimu na kuwa waislamu.

TAKBEEER .View attachment 891200View attachment 891201View attachment 891202View attachment 891203
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukishakuwa na pesa na muda mwingi huna cha kufanya utapenda ujaribu kila kitu...wallah sijui kwa mayweather kusilimu kutawasaidia vipi wengine kukua kiimani na kuishi maisha safi ya kumpendeza mola wao
 
kwa hiyo amekubali upuuzi kuwa mohamed alipasua mwezi vipande viwili na jua kuzama kwenye bwwa la maji
 
Back
Top Bottom