hatimaye asilimu na kuwa muislamu.
amesilimu na kuwa muislamu
kwani unaweza kusilimu na kuwa M-hindu au Myahudi?
jikite kwenye shule kwanza, ujue kuandika, ku make sense, ndio ufakamie maushabiki ya kidini
Tuanzie hapa, unajua/unaelewa maana ya kusilimu?
Umeona sasa hata kuandika tu kunakupa tabu.ndio, najua maana yake.
kuingia Uislamu.
Ficha umbulula wako au kwa vile English inakupiga chenga ni sehemu katika statement yake aliposema amebadili dini na kuwa Muslim2....Tyres nenda kwenye post yake ya tareh 22 to 23 ya September
Umeona sasa hata kuandika tu kunakupa tabu.
Tangu lini njeo ikakaa mwanzoni mwa neno?
"najua"[emoji777]
"ninajua"[emoji818]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukishakuwa na pesa na muda mwingi huna cha kufanya utapenda ujaribu kila kitu...wallah sijui kwa mayweather kusilimu kutawasaidia vipi wengine kukua kiimani na kuishi maisha safi ya kumpendeza mola waoMwanamasumbwi asiyepigika, Floyd Joy Money Mayweather hatimaye asilimu na kuwa muislamu.
Floyd amechukua uamuzi huo mara baada ya kufanya utafiti wa kina na kugundua uislamu ndio dini ya haki na ndio dini ya kweli.
Floyd anaungana na wanamasumbwi wengine kama vile Mike Tyson, na Muhammad Alli ambao nao waliamua kusilimu na kuwa waislamu.
TAKBEEER .View attachment 891200View attachment 891201View attachment 891202View attachment 891203