Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
BONDIA Floyd Mayweather ameonesha jeuri ya pesa ndefu baada ya kuchukua warembo wawili na kuwashindanisha kuhesabu pesa zinazofikia dola laki moja akiwa kitandani kwake, huku akitumia saa yake kuangalia nani anahesabu haraka zaidi.
Mayweather alishinda mchezo jumamosi iliyopita dhidi ya Marcos Maidana mjini Las Vegas na kuchukua ubingwa uzito wa welterweight na kuendeleza rekodi ya kutopoteza katika michezo 46 ya kimataifa na ameshangilia ubingwa wake kwa kuwashindanisha warembo kuhesabu `mkwanja` wake.
Wakizitawanya: Mayweather akihesabu dakika, huku warembo wakishindana kuhesabu haraka dola
laki moja kitandani kwa bondia huyo.
Mmarekani huyo akiwa na kibegi kidogo chenye saa 18 aliandika maneno yafuatayo: THAtjessilee na badmedina wanacheza mchezo, kuona nani anaweza kuhesabu dola laki moja ( $100,0000) kwa haraka zaidi. Hivi ndivyo wanafanya wakichoka. #TheMoneyTeam #FollowBeautifulLadies .
Ni haki yake kusema dola laki moja ni fedha kidogo kwa bondia huyo bingwa mara tano wa dunia, ambaye alipata dola milioni 70 kutokana na pambano lake dhidi ya Maidana.
Mayweather akionesha vito vya thamani
Alipata dola milioni 32 kenye mchezo uliopigwa MGM Grand , na vilevile anasema anapata dola milioni 38 kutokana na matangazo ya televisheni.
Wanawake wawili, Jessi Lee na Doralie Medina walipigwa picha wakiwa kama sehemu ya wasaidizi wa timu ya Mayweather, inayojulikana kama Timu ya hela ` The Money Team (TMT)`.

Attachments
Last edited by a moderator: