Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hela pia tunazo.Rangi nyeusi tuna matatzo sana
CR7 kipesa ni mdogo sana kwa Mayweather.hivi ronaldo na mayweather nani ana pesa ndefu?
Data Mkuu tupate uhakika.CR7 kipesa ni mdogo sana kwa Mayweather.
Unadhani Newcastle ni sawa na Njombe Mji mzee baba?Mbona waswahili mnapenda kuwa negative? Yaani sababu amefanya hivi mtu mweusi tayar mshaanza kuona kuwa hataweza
We unajua Maywether ana pesa kiasi gani!? Unajua Newcastle inauzwa kwa bei gani?Unadhani Newcastle ni sawa na Njombe Mji mzee baba?
We ndo mweny matatzo,angekuwa mzungu ndo ametangaza kuinunua hiyo timu nadhan usingeshangaa ila kwa vile umeona huyu bondia ni MTU mweus unabak kukandiaRangi nyeusi tuna matatzo sana
Unadhani ukizaliwa states ndo unaepuka show off za kishamba!?..hao black wengi wa uswazi,njaa kali..ndomana hata kwenye nyimbo zao kutwa kuonesha gari kali,majumba nk..tyson alikua anaziona tu sperms za babaake baada ya show na maza..namna gani nyumba inavobanaMjinga tu Mayweather show off za kishamba utafikiri hajazaliwa state
Mjinga tu Mayweather show off za kishamba utafikiri hajazaliwa state
yaani watu sijui wakoje !!?Mbona waswahili mnapenda kuwa negative? Yaani sababu amefanya hivi mtu mweusi tayar mshaanza kuona kuwa hataweza
Acha Uongo wewe! Sean Carter hamiliki Knicks..bali anamiliki asilimia chache sana katika Knicks Organisation. Get it right comrade!Tatizo sio mtu mweusi, mbona Jay Z anaimiliki New York Knicks fresh tu!
Ishu ni jamaa, Mayweather!
Mkuu nashangaa watu wanamponda wakati hawajamsoma vizuri na investments alizo nazoKama humjui Money Mayweather, google. Watu wanamponda lakini jamaa ni kichwa. Anajua kutengeza pesa. In short, ni bondia wa kwanza kuwa na brand yake mwenyewe. Aibiwi kama walivyokuwa wakina Mike. Yeye na baba yake, ni scouts wanaotumia akili kwenye michezo