Floyd Mayweather kupanda ulingoni December 31 na Tenshin Nasukawa

Floyd Mayweather kupanda ulingoni December 31 na Tenshin Nasukawa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Bondia asiyepigika mwenye pesa chafu ambaye pia anashika namba moja kwa wanamichezo walioingiza pesa ndefu zaidi mwaka huu pia anashika nafasi ya tatu kwa wanamichezo wenye pesa zaidi duniani Pretty Boy Floyd Joy Money Mayweather Jr anatarajia kupambana na mwana kick boxer asiyepigika Tenshin Nasukawa mwaka huu December 31.

Makubaliano ya awali yamekwisha fanyika na haitakuwa boxing bali itakuwa ni Kickboxing ambapo kwa Floyd itakuwa ni pambano lake la kwanza kwa upande wa Kick boxing.

boxinghype-20181105-0001.jpeg
boxingplanetofficial-20181105-0001.jpeg
 
Kwa jinsi alivyopigana na Pacquiao, napata kaharufu ka aibu kwa mbaalii...
Ukizingatia yeye ni "boxing" na anaenda kwenye "kickboxing" na ndo mara yake yakwanza kufanya kickboxing
 
Floyd muhuni sana na anateam ya us Hindi.... Honestly wamemuangalia mpinzani wao vizuri wakajua anapigika vizuri sana....huwa wanaangalia Kwanzaa weaknesses na strength za mpinzani mfano mzuri O'Connor yule....walimuangalia wakaona hayupo viziri sana wakakubali kilichotokea kikawa kama hivo..... So huyo mjapan anaenda kupigwa na Mayweather anaenda ingiza pesa nyingi sana cause wamejua huyo mjapani hawezi kuzuia konde za floyd
 
[BQUOTE="MAJIYAPWANI, post: 29076471, member: 457000"]JAMAA HUA MBISHI SANA SIJUI KWANINI[/QUOTE]Nani mbishi? Na amebisha wapi?
 
Floyd muhuni sana na anateam ya us Hindi.... Honestly wamemuangalia mpinzani wao vizuri wakajua anapigika vizuri sana....huwa wanaangalia Kwanzaa weaknesses na strength za mpinzani mfano mzuri O'Connor yule....walimuangalia wakaona hayupo viziri sana wakakubali kilichotokea kikawa kama hivo..... So huyo mjapan anaenda kupigwa na Mayweather anaenda ingiza pesa nyingi sana cause wamejua huyo mjapani hawezi kuzuia konde za floyd
.............
 
Kwa mtazamo wangu Money anaweza kupata aibu kubwa ya kipigo kitakatifu kwa kuwa hana mbinu za kutosha za kupigana kick boxing , tusubir pambano
 
Kwa mtazamo wangu Money anaweza kupata aibu kubwa ya kipigo kitakatifu kwa kuwa hana mbinu za kutosha za kupigana kick boxing , tusubir pambano
Kick boxing huwa wanapigwa....
mkono ni mwepesi kuliko mguu...
rejea pambano la japhet kaseba na ...yule bondia.... ambapo kaseba alichakazwa vibaya
 
Naona sasa Mayweather Jr. anatafuta aibu, bora angeendelea kustaafu tu kwa heshima...
 
Kick boxing huwa wanapigwa....
mkono ni mwepesi kuliko mguu...
rejea pambano la japhet kaseba na ...yule bondia.... ambapo kaseba alichakazwa vibaya
Ni kwavile Kaseba alienda kwenye Boxing, ni ngumu kumpiga akiwa kwenye himaya yake ya 'kickboxing', namuhurumia May weather kama kweli amechukua maamuzi haya
 
Niliishamuona huyu jamaa kama mtengeneza pesa tu,menejiment inatafuta mpinzani yeyote ambaye yuko tayari kupiga pesa wanakaa naye mezani.

Zile bil 180tsh alizofunga mac gregor sio pesa ndogo,kwa usiku mmoja tu.
 
Back
Top Bottom