Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Bondia asiyepigika mwenye pesa chafu ambaye pia anashika namba moja kwa wanamichezo walioingiza pesa ndefu zaidi mwaka huu pia anashika nafasi ya tatu kwa wanamichezo wenye pesa zaidi duniani Pretty Boy Floyd Joy Money Mayweather Jr anatarajia kupambana na mwana kick boxer asiyepigika Tenshin Nasukawa mwaka huu December 31.
Makubaliano ya awali yamekwisha fanyika na haitakuwa boxing bali itakuwa ni Kickboxing ambapo kwa Floyd itakuwa ni pambano lake la kwanza kwa upande wa Kick boxing.
Makubaliano ya awali yamekwisha fanyika na haitakuwa boxing bali itakuwa ni Kickboxing ambapo kwa Floyd itakuwa ni pambano lake la kwanza kwa upande wa Kick boxing.