Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
ThibitishaHuo ni mpango wa kutengeneza pesa tu.
JAMAA HUA MBISHI SANA SIJUI KWANINIThibitisha
Ukiiweka akili yako huru utaelewa tu huo mchuano ni mpango wa kutengeneza pesa tu kwa wote wawili,unataka uthibitishiwaje?Thibitisha
Jamaa yupi?JAMAA HUA MBISHI SANA SIJUI KWANINI
.............Floyd muhuni sana na anateam ya us Hindi.... Honestly wamemuangalia mpinzani wao vizuri wakajua anapigika vizuri sana....huwa wanaangalia Kwanzaa weaknesses na strength za mpinzani mfano mzuri O'Connor yule....walimuangalia wakaona hayupo viziri sana wakakubali kilichotokea kikawa kama hivo..... So huyo mjapan anaenda kupigwa na Mayweather anaenda ingiza pesa nyingi sana cause wamejua huyo mjapani hawezi kuzuia konde za floyd
Petitio PrincipiiUkiiweka akili yako huru utaelewa tu huo mchuano ni mpango wa kutengeneza pesa tu kwa wote wawili,unataka uthibitishiwaje?
Wewe hapoJamaa yupi?
Athibitishe nini wakati huo ni mpango wa hela....ama wanapigana bure aka dezoThibitisha
Kick boxing huwa wanapigwa....Kwa mtazamo wangu Money anaweza kupata aibu kubwa ya kipigo kitakatifu kwa kuwa hana mbinu za kutosha za kupigana kick boxing , tusubir pambano
Ni kwavile Kaseba alienda kwenye Boxing, ni ngumu kumpiga akiwa kwenye himaya yake ya 'kickboxing', namuhurumia May weather kama kweli amechukua maamuzi hayaKick boxing huwa wanapigwa....
mkono ni mwepesi kuliko mguu...
rejea pambano la japhet kaseba na ...yule bondia.... ambapo kaseba alichakazwa vibaya