Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Sasa kumbe ulijua watu wanapigana ili kukomoana?Niliishamuona huyu jamaa kama mtengeneza pesa tu,menejiment inatafuta mpinzani yeyote ambaye yuko tayari kupiga pesa wanakaa naye mezani.
Zile bil 180tsh alizofunga mac gregor sio pesa ndogo,kwa usiku mmoja tu.
π π π π π π π π π π πSasa kumbe ulijua watu wanapigana ili kukomoana?
Sasa kumbe ulijua watu wanapigana ili kukomoana?
TMT atapigwa sababu hataweza combination na joints za huyo dogoFloyd muhuni sana na anateam ya us Hindi.... Honestly wamemuangalia mpinzani wao vizuri wakajua anapigika vizuri sana....huwa wanaangalia Kwanzaa weaknesses na strength za mpinzani mfano mzuri O'Connor yule....walimuangalia wakaona hayupo viziri sana wakakubali kilichotokea kikawa kama hivo..... So huyo mjapan anaenda kupigwa na Mayweather anaenda ingiza pesa nyingi sana cause wamejua huyo mjapani hawezi kuzuia konde za floyd
Niliishamuona huyu jamaa kama mtengeneza pesa tu,menejiment inatafuta mpinzani yeyote ambaye yuko tayari kupiga pesa wanakaa naye mezani.
Zile bil 180tsh alizofunga mac gregor sio pesa ndogo,kwa usiku mmoja tu.