Floyd Mayweather kupanda ulingoni December 31 na Tenshin Nasukawa

Floyd Mayweather kupanda ulingoni December 31 na Tenshin Nasukawa

Niliishamuona huyu jamaa kama mtengeneza pesa tu,menejiment inatafuta mpinzani yeyote ambaye yuko tayari kupiga pesa wanakaa naye mezani.

Zile bil 180tsh alizofunga mac gregor sio pesa ndogo,kwa usiku mmoja tu.
Sasa kumbe ulijua watu wanapigana ili kukomoana?
 
Hatimae mayweather amejitoa kupigana kwny hilo pambano la kickboxing lililotarajiwa kufanyika huko japan.
 
Floyd muhuni sana na anateam ya us Hindi.... Honestly wamemuangalia mpinzani wao vizuri wakajua anapigika vizuri sana....huwa wanaangalia Kwanzaa weaknesses na strength za mpinzani mfano mzuri O'Connor yule....walimuangalia wakaona hayupo viziri sana wakakubali kilichotokea kikawa kama hivo..... So huyo mjapan anaenda kupigwa na Mayweather anaenda ingiza pesa nyingi sana cause wamejua huyo mjapani hawezi kuzuia konde za floyd
TMT atapigwa sababu hataweza combination na joints za huyo dogo
 
Niliishamuona huyu jamaa kama mtengeneza pesa tu,menejiment inatafuta mpinzani yeyote ambaye yuko tayari kupiga pesa wanakaa naye mezani.

Zile bil 180tsh alizofunga mac gregor sio pesa ndogo,kwa usiku mmoja tu.

Amesema kama amepata offer ya kutengeneza USD 300bn kwa dakika 36 , why not?
 
Back
Top Bottom