Floyd Mayweather v Manny Pacquiao confirmed for 2 May

Floyd Mayweather v Manny Pacquiao confirmed for 2 May

how about speed/ rate ya Ngumi(japs) ya mayweather........itamsaidiaaa

Mkuu kwa spidi na combination ya japs myweather hamfikii Pacman.....sifa kuu ya mywether ni accurate punch na defense.
 
Kati ya hawa wawili kura yako inaenda kwa nani.!
 
Attachments

  • 1427349958167.jpg
    1427349958167.jpg
    46 KB · Views: 198
Floyd Mayweather...namkubali sana huyu jamaa! Na ninamuomba Mungu wangu na Mungu wake hiyo siku ashinde japo hata kwa point tu.
 
Kati ya hawa wawili kura yako inaenda kwa nani.!

Kwa kuangalia posture zao naona "money paka wao" atapigwa na "money mwenye uweza."

Kwani udhoefu wangu wa kuangalia mechi za akina Muhammad ally, George Foreman, Joe fraiser, Guerrero, Lenox lewis, Evander holyfield, Mike tyson, vitali Klistchiko na Ndugu yake, Bernard Hopkins, Floyd Money Maywhether- the money team(TMT)

Unanidhihirishia kuwa mabondia wanao panga stance kwa kuweka gloves zao karibu na vichwa huwa wanadonolewa sana makonde ya vichwa.

Tofauti na wanaoshusha mikono kwa chini.
Mifano yangu ni Muhammad ally alipompiga for men pale Congo, Bernard Hopkins bondia aliyestahafu bila kupigwa, Guerrero aliyebondwa na Floyd Maywhether mwana juzi..

But nikiangalia psychological defeat naona Paccuao amem-biti Maywhether mpaka sasa.

But I'm still number one fan of The Money Team.

Pia nahisi kama Maywhether atashinda basi itakuwa ni kwa "majority decision" na badala ya anonimous decision.
 
Pia Floyd hajawahi shindwa, labda kama kumbukumbu zangu hazipo vizuri, Huyo mfilipino anataka mechi na Floyd Money amchafulie c.v yake. Pacquiao ameshashindwa mechi 5 kati ya nyingi alizocheza.

I support Floyd kwasababu ana uwezo. He is a black nigga kama mimi, pia anastahili kuingia kwenye rekodi.

Kwa kuangalia pozi zao naona "money paka wao" atapigwa na "money mwenye weza."

Kwani udhoefu wangu wa kuangalia mechi za akina Muhammad ally, George Foreman, Joe fraiser, Guerrero, Lenox lewis, Evander holyfield, Mike tyson, vitali Klistchiko na Ndugu yake, Bernard Hopkins, Floyd Money Maywhether- the money team(TMT)

Unanidhihirishia kuwa mabondia wanao panga stance kwa kuweka gloves zao karibu na vichwa huwa wanadonolewa sana makonde ya vichwa.

Tofauti na wanaoshusha mikono kwa chini.
Mifano yangu ni Muhammad ally alipompiga for men pale Congo, Bernard Hopkins bondia aliyestahafu bila kupigwa, Guerrero aliyebondwa na Floyd Maywhether mwana juzi..

But nikiangalia psychological defeat naona Paccuao ame-biti Maywhether mpaka sasa.

But I'm still number one fan of The Money Team.
 
Floyd Mayweather...namkubali sana huyu jamaa! Na ninamuomba Mungu wangu na Mungu wake hiyo siku ashinde japo hata kwa point tu.

Floyd.. ana kipaji, Ana nguvu ana kasi, ana kismati ana yupo sharp.. ninaw imani nae sana
 
Floyd.. ana kipaji, Ana nguvu ana kasi, ana kismati ana yupo sharp.. ninaw imani nae sana

Binafsi Paccuao namsikia tangu zamani lakini sijawahi ona pambano lake kwa umakini. Japo nimewahi kuliona moja akiibuka mshindi.

Maywhether anajua ku concentrate na pambano. Huwa akili yake haiami ulingoni. Lakini ana ngumi za kasi na nyepesi(sio nzito).
Anatumia akili zaidi kuliko nguvu.
Anajiamini.
Hajawahi pigwa wala kutoka draw .
Umri wake ni Mkubwa kwa sasa.
 
Yes Floyd is 38 na mpinzani wake Ana 36.. nina imani Floyd atatetea heshima yake. Huyu mpinzani alikuwa anamtafuta Floyd miaka mingi sana tokea back in 2012.

Pembeni ya hapo , Floyd ni mfanyabiashara. Pembeni ya heshima he is doing it for the money.

Binafsi Paccuao namsikia tangu zamani lakini sijawahi ona pambano lake kwa umakini. Japo nimewahi kuliona moja akiibuka mshindi.

Maywhether anajua ku concentrate na pambano. Huwa akili yake haiami ulingoni. Lakini ana ngumi za kasi na nyepesi(sio nzito).
Anatumia akili zaidi kuliko nguvu.
Anajiamini.
Hajawahi pigwa wala kutoka draw .
Umri wake ni Mkubwa kwa sasa.
 
Floyd.. ana kipaji, Ana nguvu ana kasi, ana kismati ana yupo sharp.. ninaw imani nae sana

Unatakiwa ubadili hii statement yako iko opposite na uhalisia kwa haya yote lkn kama unajua ngumi na umewafatilia hawa watu kwa umakini.
 
Unatakiwa ubadili hii statement yako iko opposite na uhalisia kwa haya yote lkn kama unajua ngumi na umewafatilia hawa watu kwa umakini.

Ni maoni yangu ndugu.. upo huru kutoa yako pia.
 
Nikiangalia mapambano ya Pack Man hivi karibuni ameshinda ki magumashi sana. Kuna pambano moja na Mmexico mmoja kama sikosei alipewa ushindi wa kimagumashi sana. Pia ki uhalisia ameshuka sana tofauti na alivyokuwa mwanzoni.
Kwa upande mwingine wa Myweither yeye yupo constant kabisa. Yupo vizuri sana.
Wote nawakubali sana ni watu wanao tumia akili sana na ni wepesi. Kwa kuangalia mazingira ya mpambano hasa katika masuala ya malipo, venue nk Myweither Anashinda iwe kwa KO au Points.
 
Pacquiao anasema wanae ndio wamampa motisha wa kupambana na Mayweather, wameulizia baba yao kwa muda(miaka) sasa kuwa lini ndondi...so mbinde inakuja sasa.

Siku hiyo atawafikiria wanae na kummaliza Mayweather. Mayweather sijafurahia ndondi zake mbili zilizopita.

Ukweli ni kwamba Pacquiao ana madeni mpaka walifikiria angenyang'anywa nyumba kufidia. Hili pambano ndio litamwokoa sana kiuchumi, labda watoto walikuwa wanaulizia pambano kwasababu ya fedha.
 
Mywether is the best defensive boxer with accuracy punch without knock out power...pacman is the best offesive boxer with different style who has knock out punch power. Mywether akicheza kwa style yake ya shoulder role kama tulivyozoea atakumbana na kichapo kikali kutoka kwa pacman.....Kumbuka pacman anaweza kupiga combination hadi 6 kwa wakati mmoja kitu ambacho mywether hana.....pacman huwa anarusha konde lake la kushoto bila mpinzani wake kuona kwa haraka sana......hela yangu naiweka kwa pacman japo jamaa si mzuri sana kwenye kujilinda

Aione Remote, Darius na kende

Analyse yako imefanana na maneno ya Mike Tyson [angalia clip hapa chini], lakini mimi yangu macho tu

Last edited by a moderator:
Floyd ni mfanyabiashara, kwanza dau lake ni kubwa zaidi ya mpinzani wake, nina imani atashinda hata kama ni kwa points tu.

Back
Top Bottom