Kabla hujamtukana ni vyema ukajibu kwanza swali lake. "WHY SHOULD I DONATE MONEY TO AFRIKA".
Chacha we nchokozi mi chijamaanischa hivyo:smile-big:Kwani akitokea Ntwala sio ntu
Kwasababu ndo origin yake, mbona kina Chris Tucker walikuja hadi Arusha na akatoa hela ktk mkutano wa Suvillian ye ndo nani ajione bora?
Hujajibu swali, Afrika imekosa nini hadi ihitaji kuchangiwa?
We kweli unashindwa kufikiri kwani ni mchi Africa zote ndo zina neema? Somalia kuna nn? Eritrea? Chad? Au hizo zipo Ulaya?