Floyd Mayweather: Why should I donate money to Africa?

Floyd Mayweather: Why should I donate money to Africa?

why should i donate africa?mjibuni kwanza..........hahahaha
 
mbona tunao matajiri wengi hapa bongo na hata siku moja huwasikii wakichangia au wana foundation zao za kusaidia wtz wenzao?
 
Kabla hujamtukana ni vyema ukajibu kwanza swali lake. "WHY SHOULD I DONATE MONEY TO AFRIKA".

Kwasababu ndo origin yake, mbona kina Chris Tucker walikuja hadi Arusha na akatoa hela ktk mkutano wa Suvillian ye ndo nani ajione bora?
 
Kwasababu ndo origin yake, mbona kina Chris Tucker walikuja hadi Arusha na akatoa hela ktk mkutano wa Suvillian ye ndo nani ajione bora?

Hujajibu swali, Afrika imekosa nini hadi ihitaji kuchangiwa?
 
We kweli unashindwa kufikiri kwani ni mchi Africa zote ndo zina neema? Somalia kuna nn? Eritrea? Chad? Au hizo zipo Ulaya?

Ujinga mwingine huu hapa!
Niambie hizo nchi zimekosa kitu gani?
 
Back
Top Bottom