Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
First of all Air Tanzania ikitaka kujiendesha kiufanisi serikali ijitoe,
ijiendeshe kibiashara,
ifanye restructuring ya wafanyakazi ili kuweza kuleta ufanisi,
kuwe na ajira za ushindani na sio za kisiasa,
iuze hisa zake kwa watanzania wazawa na sio wachina,
ipewe mtaji wa kutosha kujiendesha,
fukuza akina Mattaka
na uweke damu changa ,
punguza bei ya nauli,
waanzishe route ndani ya Afrika Mashariki na Kati kwa kuanzia then Dubai na China,
iwe na ushirika na ubia wa kibiashara wa faida pamoja na mashirika mengine ya ndege ndani na nje ya Tanzania ili kukuza utalii.
Nafikiri mpaka hapo ATCL itakuwa imesimama mwenye hoja aongezee.