NImepuuza maana mnapotosha, subiri muone libarabara kama lote yaani raha...
Libarabara mali ya gava ya uchina ndani ya ardhi ya ukoo wa mama ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ila kiukweli hii barabara itawauma siku nyingi, kwenye hii tulipatia yaani tu basi....hehehe
Ituume wakati hata nyie si yenu [emoji3][emoji3][emoji3]