Flyover ya kulipia nchini Kenya

Flyover ya kulipia nchini Kenya

prophets of doom...we will revisit this thread when the expressway is officially opened to the public
 
Libarabara mali ya gava ya uchina ndani ya ardhi ya ukoo wa mama ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ila kiukweli hii barabara itawauma siku nyingi, kwenye hii tulipatia yaani tu basi....hehehe
 
Ituume wakati hata nyie si yenu [emoji3][emoji3][emoji3]

Hebu waza hapo ulipo unavyopata tabu na bado haujaanza kutumika......raha sana, tutawatambia sana hili limradi hadi iwe kero.....
 
Back
Top Bottom