Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mradi ni initiative ya bank ya dunia wakati wa Kikwete..Acheni upotoshaji

Kuna mengi huyajui hiyo miradi michakato yake huanzia mbali ..hicho ulichoandika hapa ni finalsSi kweli mkuu. Mradi huu ulijadiliwa na utawala wa Rais Magufuli na World Bank na hatimaye World Bank ilisaini makubaliano na Mheshimiwa Rais Magufuli tarehe 20 Machi 2017 kuhusu mkopo wa mradi huu.
Kwa ushahidi zaidi, soma taarifa hiyo ya World Bank
DAR ES SALAAM, March 20, 2017 — Today World Bank Group President Jim Yong Kim announced that Tanzania will be able to access up to $2.4 billion in concessional financing over the next three years, an increase of half a billion dollars over previous allocations.
The additional resources will come from the World Bank Group’s International Development Association (IDA), the Bank’s fund for the poorest, which in December of last year received a record 18th replenishment of $75 billion. Approximately $45 billion of those funds will be invested in Africa over the next three years.
Because of Tanzania’s strong macroeconomic management and political stability as well as the overall growth opportunities in the country, Tanzania’s is one of the “scale-up countries,” meaning that in addition to concessional resources, they will be able to borrow additional resources on non-concessional terms that are lower than market rates.
Kim made this announcement during a ceremony in which he and Tanzanian President John Magufuli laid the foundation stone for the Ubungo Interchange in Ubungo District of Dar Es Salaam. The interchange will be financed under one of the three projects signed today, with a total value of $780 million.
The Ubungo Interchange is a critical piece of infrastrucure designed to reduce congestion at a key strategic gateway in Dar Es Salaam, and the next step in an ambitious effort to connect the Port of Dar Es Salaam to rural areas, industries, and the wider region.
Kim underscored the need to leverage private sector investment for infrastructure development as well as in job-creating industries for the estimated 800,000 young men and women entering the labor market in Tanzania each year.
“Investing in infrastructure has a significant multiplier effect, spurring growth in subsequent years,” World Bank Group President Jim Yong Kim said. “Right now there are trillions of dollars of capital in the developed world seeking higher returns. We see tremendous opportunities in developing countries for private sector investment in areas like infrastructure, which is crucial for jobs and growth. The key to unlocking this potential is through greater collaboration between the public and private sector to achieve each developing country’s highest aspirations.”
The Ubungo Interchange will be constructed under the Dar Es Salaam Urban Transport Project (DUTP) as a follow-on investment to the Second Central Transport Corridor (CTCP2) financed by the World Bank. The CTCP2 pioneered the establishment of the first phase of the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam City.The DUTP will also finance Phases 3 and 4 of the BRT while supporting capacity enhancements for public transport institutions.
Dar es Salaam has a population of 4.4 million and is growing at a rate of 6.5 percent per year. It is expected to achieve megacity status before 2030. The Ubungo Interchange is expected to reduce congestion, improve travel time, and decrease costs for commuters and commercial consumers.
Kim and President Magufuli also signed the financing agreements for the $225m Second Water Sector Support Project (WSSP2), and for the $130m additional financing for the Tanzania Strategic Cities Project. The WSSP2 will support the strengthening of capacities for integrated water resources planning and management in Tanzania, as well as improve access to water supply and sanitation services in Dar es Salaam. The Tanzania Strategic Cities Project will finance an upscaling of infrastructure in eight cities across Tanzania.
Watanganyika ni washamba sijawahi kuona
Ndugu yangu hii ni furaha ya watanzania kwa jinsi Mheshimiwa Rais Magufuli anavyofanya Tanzania ionekane kam Ulaya. Alisema na kweli anafanya hivyo. Ubungo flyover imegharimu zaidi ya shilingi bilioni 230. Sasa foleni ya Ubungo byebye. Tena mradi unakamilika hata kabla ya muda uliopangwa wa Desemba 2020. Chadema kipindi hiki ambacho Lissu amefungiwa mpelekeni akaone Flyover ya Ubungo na miradi mingine aondoe stress. Aone pia Kigamboni bridge, Salander Bridge, Hospitali ya Mloganzila na Machinjio mapya ya nyama Vingunguti. Aone vizuri tena terminal 3 Airport, wakati anakuja hakuiona vizuri, naambiwa alikuwa na wasiwasi wa kukamatwa. Jirani na makazi yake hapo Mabwepande aone hospitali kubwa na ya kisas iliyojengwa kwa ajili ya Wilaya ya Kinondoni. Asisahau kuona Mradi wa umeme wa Kinyerezi 2 na ujenzi wa stand mpya ya mabasi Mbezi. Akiwa hapo mpitisheni Kisarawe aone mradi mkubwa wa maji. Orodha ni ndefu. Naamini baada ya hapo ataondoa stress na kutambua kuwa Mheshimiwa Magufuli anashughulika na maendeleo ya watu. Watanzania tunampa kura za kumwaga Rais Magufuli.
Ajira 502 is it sustainable au ikifika mwakani January hawana hela ya kodi ya miez 3. Acheni unafiki. Nyie ndo mnaosifikia Ajira za ma barmaid ili mzengee ucku ngono zembe
Acha kuwa tarumbeta wewe..Si kweli mkuu. Mradi huu ulijadiliwa na utawala wa Rais Magufuli na World Bank na hatimaye World Bank ilisaini makubaliano na Mheshimiwa Rais Magufuli tarehe 20 Machi 2017 kuhusu mkopo wa mradi huu.
Kwa ushahidi zaidi, soma taarifa hiyo ya World Bank
DAR ES SALAAM, March 20, 2017 — Today World Bank Group President Jim Yong Kim announced that Tanzania will be able to access up to $2.4 billion in concessional financing over the next three years, an increase of half a billion dollars over previous allocations.
The additional resources will come from the World Bank Group’s International Development Association (IDA), the Bank’s fund for the poorest, which in December of last year received a record 18th replenishment of $75 billion. Approximately $45 billion of those funds will be invested in Africa over the next three years.
Because of Tanzania’s strong macroeconomic management and political stability as well as the overall growth opportunities in the country, Tanzania’s is one of the “scale-up countries,” meaning that in addition to concessional resources, they will be able to borrow additional resources on non-concessional terms that are lower than market rates.
Kim made this announcement during a ceremony in which he and Tanzanian President John Magufuli laid the foundation stone for the Ubungo Interchange in Ubungo District of Dar Es Salaam. The interchange will be financed under one of the three projects signed today, with a total value of $780 million.
The Ubungo Interchange is a critical piece of infrastrucure designed to reduce congestion at a key strategic gateway in Dar Es Salaam, and the next step in an ambitious effort to connect the Port of Dar Es Salaam to rural areas, industries, and the wider region.
Kim underscored the need to leverage private sector investment for infrastructure development as well as in job-creating industries for the estimated 800,000 young men and women entering the labor market in Tanzania each year.
“Investing in infrastructure has a significant multiplier effect, spurring growth in subsequent years,” World Bank Group President Jim Yong Kim said. “Right now there are trillions of dollars of capital in the developed world seeking higher returns. We see tremendous opportunities in developing countries for private sector investment in areas like infrastructure, which is crucial for jobs and growth. The key to unlocking this potential is through greater collaboration between the public and private sector to achieve each developing country’s highest aspirations.”
The Ubungo Interchange will be constructed under the Dar Es Salaam Urban Transport Project (DUTP) as a follow-on investment to the Second Central Transport Corridor (CTCP2) financed by the World Bank. The CTCP2 pioneered the establishment of the first phase of the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam City.The DUTP will also finance Phases 3 and 4 of the BRT while supporting capacity enhancements for public transport institutions.
Dar es Salaam has a population of 4.4 million and is growing at a rate of 6.5 percent per year. It is expected to achieve megacity status before 2030. The Ubungo Interchange is expected to reduce congestion, improve travel time, and decrease costs for commuters and commercial consumers.
Kim and President Magufuli also signed the financing agreements for the $225m Second Water Sector Support Project (WSSP2), and for the $130m additional financing for the Tanzania Strategic Cities Project. The WSSP2 will support the strengthening of capacities for integrated water resources planning and management in Tanzania, as well as improve access to water supply and sanitation services in Dar es Salaam. The Tanzania Strategic Cities Project will finance an upscaling of infrastructure in eight cities across Tanzania.
Acha kuwa tarumbeta wewe..
Huo ni mkopo wa WB na walipaji ni mimi na wewe..
Meko amekuwa akilaghai kwamba mradi umetumia fedha za ndani wakati huo ni mkopo..
Kazi ya kujenga miundombinu hufanywa na serikali yoyote ile..
Hata wakoloni walijenga miundombinu vilevile lakini tuliwatoa kama tunavyomtoa Meko tarehe 28/10.
Kuna mengi huyajui hiyo miradi michakato yake huanzia mbali ..hicho ulichoandika hapa ni finals
[emoji981]Flyover, ndege, SGR,, SGHEP yote ni miradi ya Serikali ambayo ipo kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mradi wa Ubungo Flyover ulisainiwa 2012 kipindi KIKWETE ni Rais mkopo toka WB [emoji1428]walipa mkopo ni watanzania mimi na wewe kwa nini sifa ziende kwa JPM? Acheni kuwa Matarumbeta! htthttps://twitter.com/LusakoWaKwanza/status/1266966087943553025
Wachawi waongo afu mna wivu, hiyo ni strictly magufuli. Mtapata tabu sana awamu hiiHuu mradi ni initiative ya bank ya dunia wakati wa Kikwete..Acheni upotoshaji
Sifa lazima apate magufuli sababu ndio ametoa go ahead ya huo ujenziKuna mengi huyajui hiyo miradi michakato yake huanzia mbali ..hicho ulichoandika hapa ni finals