Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

Si kweli mkuu. Mradi huu ulijadiliwa na utawala wa Rais Magufuli na World Bank na hatimaye World Bank ilisaini makubaliano na Mheshimiwa Rais Magufuli tarehe 20 Machi 2017 kuhusu mkopo wa mradi huu.
Kwa ushahidi zaidi, soma taarifa hiyo ya World Bank


DAR ES SALAAM, March 20, 2017 — Today World Bank Group President Jim Yong Kim announced that Tanzania will be able to access up to $2.4 billion in concessional financing over the next three years, an increase of half a billion dollars over previous allocations.

The additional resources will come from the World Bank Group’s International Development Association (IDA), the Bank’s fund for the poorest, which in December of last year received a record 18th replenishment of $75 billion. Approximately $45 billion of those funds will be invested in Africa over the next three years.

Because of Tanzania’s strong macroeconomic management and political stability as well as the overall growth opportunities in the country, Tanzania’s is one of the “scale-up countries,” meaning that in addition to concessional resources, they will be able to borrow additional resources on non-concessional terms that are lower than market rates.

Kim made this announcement during a ceremony in which he and Tanzanian President John Magufuli laid the foundation stone for the Ubungo Interchange in Ubungo District of Dar Es Salaam. The interchange will be financed under one of the three projects signed today, with a total value of $780 million.

The Ubungo Interchange is a critical piece of infrastrucure designed to reduce congestion at a key strategic gateway in Dar Es Salaam, and the next step in an ambitious effort to connect the Port of Dar Es Salaam to rural areas, industries, and the wider region.

Kim underscored the need to leverage private sector investment for infrastructure development as well as in job-creating industries for the estimated 800,000 young men and women entering the labor market in Tanzania each year.

“Investing in infrastructure has a significant multiplier effect, spurring growth in subsequent years,” World Bank Group President Jim Yong Kim said. “Right now there are trillions of dollars of capital in the developed world seeking higher returns. We see tremendous opportunities in developing countries for private sector investment in areas like infrastructure, which is crucial for jobs and growth. The key to unlocking this potential is through greater collaboration between the public and private sector to achieve each developing country’s highest aspirations.”

The Ubungo Interchange will be constructed under the Dar Es Salaam Urban Transport Project (DUTP) as a follow-on investment to the Second Central Transport Corridor (CTCP2) financed by the World Bank. The CTCP2 pioneered the establishment of the first phase of the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam City.The DUTP will also finance Phases 3 and 4 of the BRT while supporting capacity enhancements for public transport institutions.

Dar es Salaam has a population of 4.4 million and is growing at a rate of 6.5 percent per year. It is expected to achieve megacity status before 2030. The Ubungo Interchange is expected to reduce congestion, improve travel time, and decrease costs for commuters and commercial consumers.

Kim and President Magufuli also signed the financing agreements for the $225m Second Water Sector Support Project (WSSP2), and for the $130m additional financing for the Tanzania Strategic Cities Project. The WSSP2 will support the strengthening of capacities for integrated water resources planning and management in Tanzania, as well as improve access to water supply and sanitation services in Dar es Salaam. The Tanzania Strategic Cities Project will finance an upscaling of infrastructure in eight cities across Tanzania.
Wewe hujui chochote juu ya huu mradi.
Mradi ni kwa ufadhili wa World Bank na ulianza kusanifiwa wakati wa Prez Kikwete.
 
World bank tena sio fedha zetu za ndani?

Unakataa kuwa hii sio mipango ya serekali ya JK ila ni initiative ya JPM kama Rais, unakumbuka JPM akiwa waziri wa ujenzi alitaka kuvunja jengo la Tanesco ubungo JK na Pinda wakamzuia, unawaza alitaka kuvunja ili iweje? Jengo ambalo maskini alikuja kulivunja huku anajisifu kuwa sasa hakuna wa kumzuia maana yeye ndo Rais wakati huo mradi umepita maili mia mbali

Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
Usichanganye mambo.
Ubungo Fly over haina uhusiano wowote na jengo la TANESCO kuvunjwa.
Jengo la TANESCO lilivunjwa kuhalalisha kauli kuwa liko ndani ya eneo la barabara sambamba na kunjwa nyumba za wananchi wa Ubungo, Kimara na Mbezi zmwisho.
 
Kama taifa la watu mamilioni kujisifu kwa kuzalisha ajira za watu mamia..., utaona kwamba kuna sehemu tumekosea...., hizi achievement ni za kujisifia katika level ya kijiji au individual sio taifa....
 
Kuna mengi huyajui hiyo miradi michakato yake huanzia mbali ..hicho ulichoandika hapa ni finals
[emoji981]Flyover, ndege, SGR,, SGHEP yote ni miradi ya Serikali ambayo ipo kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mradi wa Ubungo Flyover ulisainiwa 2012 kipindi KIKWETE ni Rais mkopo toka WB [emoji1428]walipa mkopo ni watanzania mimi na wewe kwa nini sifa ziende kwa JPM? Acheni kuwa Matarumbeta! htthttps://twitter.com/LusakoWaKwanza/status/1266966087943553025
Kwa kifupi mradi umetekelezwa na viongozi wa chama tawala.
 
Sifa ziende kwa walipakodi wa Tanzania..mana hao ndo watabakiwa na madeni sio jpm anayeondoka kesho kutwa tu.

#MaendeleoHayanaChama.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni useless analysis. Zaidi ya 90% ya gharama za kujenga Ubungo interchange wame-pocket wachina (ccecc) na kupelekwa China. Vibarua wamelipwa chini ya 2% kiasi kilichobaki kimelipwa construction materials - cement, kokoto na nondo. Sasa cha kinashangiliwa kitu gani?
 
Back
Top Bottom