Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

Wewe hujui chochote juu ya huu mradi.
Mradi ni kwa ufadhili wa World Bank na ulianza kusanifiwa wakati wa Prez Kikwete.
 
Usichanganye mambo.
Ubungo Fly over haina uhusiano wowote na jengo la TANESCO kuvunjwa.
Jengo la TANESCO lilivunjwa kuhalalisha kauli kuwa liko ndani ya eneo la barabara sambamba na kunjwa nyumba za wananchi wa Ubungo, Kimara na Mbezi zmwisho.
 
Kama taifa la watu mamilioni kujisifu kwa kuzalisha ajira za watu mamia..., utaona kwamba kuna sehemu tumekosea...., hizi achievement ni za kujisifia katika level ya kijiji au individual sio taifa....
 
Kwa kifupi mradi umetekelezwa na viongozi wa chama tawala.
 
Sifa ziende kwa walipakodi wa Tanzania..mana hao ndo watabakiwa na madeni sio jpm anayeondoka kesho kutwa tu.

#MaendeleoHayanaChama.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni useless analysis. Zaidi ya 90% ya gharama za kujenga Ubungo interchange wame-pocket wachina (ccecc) na kupelekwa China. Vibarua wamelipwa chini ya 2% kiasi kilichobaki kimelipwa construction materials - cement, kokoto na nondo. Sasa cha kinashangiliwa kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…