FM Academia: Haina Mpinzani Bongo au?

FM Academia: Haina Mpinzani Bongo au?

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Unajua ni kwa muda mrefu sana sasa, bendi mbili kubwa nchini za marafiki wawili, yaani Twanga ya Papa Msilwa na FM Academia ya Papa Martin Kasyanju, zimekwua zikichuana sana kugombea soko la muziki nchini, I mean sio siri kwamba kwa muda mrefu sasa FM Academia yaani wazee wa Ngwasuma wamekuwa wakiwapita pole pole Twanga kwa gear ndogo,

- Lakini hivi majuzi Wazee wa Ngwasuma, waliamua kutumia gear kubwa na kuwaacha mbali sana Twanga na kibao chao kipya cha "Samaki ana vipande vingapi?-vitatu" duh! Vipi wakuu mliokisikia hicho kibao mnasemaje kinaweza kuwa na mpinzani bongo kweli?

I doubt it, maana huu wimbo ni mwanzo na mwisho, I mean kina Kitokololo, Jose Mara, Nyoshe El-Sadat na Pablo Masai wanatisha sana wakuu kwenye hiki kibao, au? mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs! ni wazee wa sauti ya umeme!
 
Back
Top Bottom