Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaona wapi hao drug dealers mzee au muviVipi kuhusu Mac-10 na Mac-11. Huwa naona nazo zinatema moto si mchezo. Afu zinapendwa sana na drug dealers.
Cheki documentaries za drug cartels wa Mexico na Colombia ndo utaelewa ninachozungumza.Umewaona wapi hao drug dealers mzee au muvi
Lengo la huu mjadala ni lipi hasa? Ndo maana mnatekwa!
Kwani tuliwahi kupigana na Idd Amin 1977?Zipo nyingi sana kwenye kambi za majeshi yetu zilitekwa kutoka Uganda baada ya kumpiga IDD amin 1977
Zinatumika sana tu hata hata kwa askari wengine, not better than smgyeah!!! makomandoo wa Jwtz pia wanazitumia hizo UZI toka israel![]()