Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mziki kwa sasa unahitaji uwekezaji mkubwa ndo mana hata wasanii wakubwa nao wanakwamaHao majamaa wanajya sana nahisi hawana menejimenti very powerful,zenye hela na ushawishi pia JAMAA wamepoa sana hawana makeke ila muziki tu wanaujua