Folder ya Docs imenakiliwa au kuporwa

Folder ya Docs imenakiliwa au kuporwa

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Jamani kuna folder yangu moja ina docs nyeti na muhimu naona imenakiliwa au kuporwa.. aliyeiona anirudishie... au aniambie ilipo nitaifuata mwenyewe. Ina picha, nyaraka, discs za video na audio

Aliyeiona anaweza kuniandikia mimi; kimsini naona ni nyaraka ambazo hutakiwi kuwa nazo ni za mtu mwingine na baadhi yaweza kuwa ni zangu..so ukiona nyaraka zina mhuri wa "MM".. nitonye.. important tuzirudishe.
 
what?
zimepotelea wapi ,zimepeperuka duniani kote maana tuko watu toka pande mbalimbali hapa....kuweni bayana zaidi tafadhali.

Ama mnaongea kwa code!!!!!?
 
what?
zimepotelea wapi ,zimepeperuka duniani kote maana tuko watu toka pande mbalimbali hapa....kuweni bayana zaidi tafadhali.

Ama mnaongea kwa code!!!!!?

hapana usiwe na shaka habari ndiyo kama ilivyo.. hivi vita jamani vina kazi kuliko.. mimi nawashirika tunahifadhi docs zetu nyingine kwenye computer, flash na nyingine online just in case.. sasa hatujui baadhi ya docs (folder) limetoweka na hakuna kati yetu anayejua limetoweka vipi na katika mazingira gani... yawezekana tulifanya uzembe mahali fulani hata mtu akaweza kukisia nenolasiri au hatukufunga kabisa mlango wa nyumba vitasa vyote.. ndio tuko kwenye kufanya utafiti sasa..
 
Mhhh ok
Je wanaweza kuchukua data remotely pia kwa kutumia vitu kama spyware?
Anyway shukrani kwa tahadhari ni kuwa makini tu kila idara.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom