Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Jamani kuna folder yangu moja ina docs nyeti na muhimu naona imenakiliwa au kuporwa.. aliyeiona anirudishie... au aniambie ilipo nitaifuata mwenyewe. Ina picha, nyaraka, discs za video na audio
what?
zimepotelea wapi ,zimepeperuka duniani kote maana tuko watu toka pande mbalimbali hapa....kuweni bayana zaidi tafadhali.
Ama mnaongea kwa code!!!!!?
hapana usiwe na shaka habari ndiyo kama ilivyo.. hivi vita jamani vina kazi kuliko.. mimi nawashirika tunahifadhi docs zetu nyingine kwenye computer, flash na nyingine online just in case.. sasa hatujui baadhi ya docs (folder) limetoweka na hakuna kati yetu anayejua limetoweka vipi na katika mazingira gani... yawezekana tulifanya uzembe mahali fulani hata mtu akaweza kukisia nenolasiri au hatukufunga kabisa mlango wa nyumba vitasa vyote.. ndio tuko kwenye kufanya utafiti sasa..