Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Mzee tupiatupia baada ya kufa kajikuta tayari yuko kuzimu.Akaanzia mapokezi akaelekezwa utaratibu ni kuwa kila MTU lazima aingie kwenye chumba maalaum kilichotengwa kwaajili ya nchi yake kwaajili ya kupatiwa adhabu ya milele ambayo ni kupigwa shoti za umeme kisha kulazwa kwenye magunia ya misumari
Basi kwa sababu ye mtanzania akaenda chumba kilichoandikwa tz lakin cha ajabu akakuta bonge la foleni na utaratibu ni lazima uingie kulingana na tarehe uliyoingia .
Cha ajabu akakuta na watu wasiokuwa watz nao wanataka kuingia chumba cha tz basi akaamua kumuliza MTU alimkuta mwishoni kwenye foleni eti "mbona naona watu wote wanavikimbia vyumba vyao wanangangania kuingia chumba cha tz "
jamaa akamtonya " unajua chumba cha tz kuna unafuu sana maana hawapigi shoti za umeme kwa kuwa wanasubiria mradi wa stigres George ili wafikishiwe umeme na pia malaika wa kitz wameiba misumari yote ya kwenye magunia na wamejaza fito hivyo ndo maana unaona watu wote wanataka kuingia chumba cha tz harafu utoaji wa adhabu umesitishwa mpaka pale nida watakapokamilisha kutoa vitambulisho vya uraia"