St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Wewe ni wa kipekee nataka yangu peke yangu
Mi yangu haina mtu nikupe..?? Lakini utaiweza?//
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni wa kipekee nataka yangu peke yangu
Mi yangu haina mtu nikupe..?? Lakini utaiweza?//
Wanaume kwa kupenda kutupanga foleni, na siku hizi wanakomeshwa yeye akipanga kuanzia mlango wa mbele na demu anapanga kuanzia mlango wa jikoni. mshindano tu. mtenda hutendwa
Hahahahaha! Mbona Mi nazipenda foleni za mapenzi. Ila wakati nasubiria niwe nimekaa.
Mmh!! Hivi hili ni jukwaa lipi?? ni la MMU Au mi ndo naota??
Utakua unaota.
Sitaki kabisa foleni ya mapenzi bora mkate, namtaka wangu wa peke yangu wa milele sitaki kushare na mtu
Ndoto za mchana