Foleni ktk mapenzi

Wanaume kwa kupenda kutupanga foleni, na siku hizi wanakomeshwa yeye akipanga kuanzia mlango wa mbele na demu anapanga kuanzia mlango wa jikoni. mshindano tu. mtenda hutendwa

haaa! basi hapo hakuna foleni, ni opposite direction.
 
Sitaki kabisa foleni ya mapenzi bora mkate, namtaka wangu wa peke yangu wa milele sitaki kushare na mtu

Kaza buti utampata soon. By the time unampata wako mwenyewe you are 60yrs. Huyo wakikuonea huruma sana watakuachia!
 
Foleni ni nzuri kuliko kukosa kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…