KERO Foleni kubwa Kibaha kuna mkubwa anataka kupita

KERO Foleni kubwa Kibaha kuna mkubwa anataka kupita

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
 
Asante sana mkuu kwa kuwa raia mwema. Siku ukiwa mkubwa, na wewe tutakupisha hivyo. Maisha kupokezana.
 
Serekali yetu ni onevu sana yani mkubwa anaoga huku tayar foleni magari yashasumamishwa,
 
Hayo ni mateso makubwa sana kwenye hiyo Barabara, na Baada ya huo msafara mpaka Hali iwe stable mtapata tabu sana!
 
Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
Nilikuwa naelekea Hospital Medwell kama sio uzoefu wa njia za panya ingekuwa mpaka sasa niko kona ya Loliondo
 
Nilikuwa naelekea Hospital Medwell kama sio uzoefu wa njia za panya ingekuwa mpaka sasa niko kona ya Loliondo
Ndio tumeruhusiwa njia za uchochoro atujui aisee
 
Maana tumekaa mpk tumesahau kama tuko na safari
 
Back
Top Bottom