Foleni Morogoro Road

Foleni Morogoro Road

Poleni Sana aisee ss huku border tunakula bia karibuni mutukula border
Nimefanya kazi hapo mikese mzani aiseee miaka ya 2005 hadi 2009 ikitokea foleni ni balaaa
 
hatimae tumefanikiwa kufika Chalinze, hii foleni hatari
 
Kulikuwa na mgomo wa madereva wa malori kuanzia tarehe 25 26 na 27, ambao ulishababisha malori mengi kupaki , kama upo dar utagundua pia ile foleni kali ya uhasibu ,kurasini, na buguruni haikuwepo kwa siku hizo tajwa .sababu roli nyingi hazikuwepo barabarani

Mgomo umepigwa marufuku na yoyote anayeshiriki kwa sasa anapewa kesi ya kuhujumu uchumi, kinachotokea ni kuwa truck zaidi ya 500 zote zinaanza safari kwa muda mmoja , ndio hiyo foleni inayowatesa, tarajia hadi wiki moja kwa hali kurudi kawaida yake.
 
Back
Top Bottom