Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni njia yangu ya kila siku ila Leo ilikua zaid ila nligundua kulikua na Noah pale korogwe iliharbika ndio ilileta shidaMkuu kwani wewe ni mara yako ya kwanza kupita njia hiyo? We ni dereva wa lori? Km si wa lori mwendokasi zilisha anza mkuu km unakomaa na gari yako komaa tu mkuu maana haina namna