Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Barabara ya Mwenge-Lugalo-Mbezi Beach leo jioni ilikuwa balaa.
Kuna mkandarasi anafanya kazi mchana hadi jioni NA KUZIBA lane moja.
Hapo ndio naona hii ni kichaa kabisa, watafanyaje kazi wakati wa maximum traffic?
Matokeo yake ni magari kuxiba njia zote kabisa.
TANROADS tumieni akili ya kuzaliwa, this should NOT happen.