Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Makandarasi WOTE wanaofanya kazi barabara hii hufanya hivyo usiki, sijui hawa wamepewaje kibali KUFUNGA barabara mchana!Ukweli inakera sana! si wajenge usiku wa manane? Taa zipo wamulike wajenge usiku. Inakera sana
Hiyo bara bara wanarekebisha nini sasa? Inatatizo gani?
: NB: nina mwaka mmoja sijapika hiyo njia
Tunakumbuka kampuni ya Estim chini ya Konoike ndiyo ilifanya hiyo kazi magumashi!Wanaikarabti baada ya lami kuumuka!
TANROADS tafadhali, leo hili lisirudiwe tena.Ni kweli, nimepata sana taabu leo.. na hiyo foleni
Hapo ndipo huwa nawaleza vijana wa JF kuwa mna matatizo. Baadala ya kuuliza unajadili wakati hujui hali halisi ya hiyo barabara na wala siyo mtaalam wa barabara. Shame on youHiyo bara bara wanarekebisha nini sasa? Inatatizo gani?
: NB: nina mwaka mmoja sijapika hiyo njia
... nadhani hawa jamaa ni shida! Barabara zao nyingi baada ya muda mfupi "zinaumuka". Kuna ile ya Mbezi - Kinyerezi na Mbezi - Goba - Masana ni hawa hawa jamaa! Kila mahali zimekuwa "manundu" ya hatari! I think ndio hawa hawa wanajenga ile iliyosifiwa sana; njia 8 Kimara - Kibaha! Let's wait and see!Tunakumbuka kampuni ya Estim chini ya Konoike ndiyo ilifanya hiyo kazi magumashi!
Kwani hujaona alama ya kiulizo? Au leo usisahau kuvaa miwani yako?Hapo ndipo huwa nawaleza vijana wa JF kuwa mna matatizo. Baadala ya kuuliza unajadili wakati hujui hali halisi ya hiyo barabara na wala siyo mtaalam wa barabara. Shame on you
Barabara zao ziitwe Estim Manundu Roads.... nadhani hawa jamaa ni shida! Barabara zao nyingi baada ya muda mfupi "zinaumuka". Kuna ile ya Mbezi - Kinyerezi na Mbezi - Goba - Masana ni hawa hawa jamaa! Kila mahali zimekuwa "manundu" ya hatari! I think ndio hawa hawa wanajenga ile iliyosifiwa sana; njia 8 Kimara - Kibaha! Let's wait and see!