Foleni ya kutisha Kibaha - Ruvu muda huu

Foleni ya kutisha Kibaha - Ruvu muda huu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu.
Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
IMG_20240727_145249.jpg
IMG_20240727_145249.jpg
IMG_20240727_145239.jpg
 
Hii chura awezi ona si anapanda ndege tu!! Shida iko kwetu watanganyika.





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Barabara Hiyo Noma Hata Lorry Likikosa Breki Likahabika Njiani Shida
 
Back
Top Bottom