rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
yani kitu pekee kinafanya nichukie gari ni foleni zinatia hasira sana.Ukipata mateso sana. Muda mwingine uwe unazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani kitu pekee kinafanya nichukie gari ni foleni zinatia hasira sana.Ukipata mateso sana. Muda mwingine uwe unazima
Ungepiga kimasihara moja kwenye foleni. 😀😀😀Juzi ndo nimeamini foleni inakula mafutaaa 😀 😀 😀 unakaa foleni mpaka unakuwa unazima gari maana ni kama gari inatembea gauge inashuka tu
ndugu utakumbuka sasa zaidi ya kuishia kutukana sirikalii tuuu...unatumia masaa 3 njiani hapana aisee.Ungepiga kimasihara moja kwenye foleni. 😀😀😀
Ile njia ya vingunguti yenyew kumbe ina uafadhali bora niwe napitia hioSi lazima majumba sita unaweza kuingilia hata vingunguti ukaenda kutokea baracuda tena hiyo ndio itakuwa rahisi zaidi kwako, kwa kiasi kikubwa utakuwa umekwepa foleni ya kuanzia tazara mpaka tabata relini, nyerere road naonaga haina usumbufu mkubwa kama mandela road
Barabara yenye foleni kubwa toka nije Dar hii Mandela Road ni kiboko hii ndio inapaswa kua njia nane hata ile flyover ya pale Tazara haisaidii chochote.Barabara ya mandela road ilikuwa haifai leo ,foleni Nimeikuta imeanzia uhasibu chuo cha TIA mpk nimekuj kuchepuk njia ya kuingia Tabata,kwa wale tuliopita hii njia nahisi mmekutana nacho, nimejaribu kuchepukia njia ya mchicha ili niingilie njia ya uhuru wapi, kwenyewe ndo kabisa gari zilikuwa hazitembei Ikanibidi nirud teena niitafute sokota ili niingie service road, mpaka natoboa Tazara nimekaa kile kipande Si chini ya lisaa na nusu.
Vivyo hivo kweny kipande cha kutafuta mataa ya Tabata Si chini ya dkk 45.Nimetoka pale nikaend kupamban na foleni ya kuitafuta segerea mwisho unachipua mkono wa kushoto pale mataa ya Tabata na kwenyewe nimekaa sii chini ya dkk 40.
Mpk nafika home ni huruma imenibidi nilale kweny gari kabla ya kushuka mwili wote ganzi.
Kinachochosha zaidi safari ya nusu Saa nimetumia masaa matatu, naukisema utumie usafiri wa umma jiandae kuwa jack chain lasivyo uwe na hela ya kupanda boda boda kila siku, ukiwa mzembe ni kufik home midnight kila siku.
Hapa ni ujenzi ukamilike foleni itapungua Saaan,wenye private car wanaotokea maeneo ya buza,mbagala au bandarini kama wanaelekea tabata hii njia ya vingunguti ikiisha itapunguz wingi watu kupotez muda kweny folen ya tabata.Vingunguti Bado magari hayawezi kukatiza Kuna ujenzi unaendelea wa daraja. Labda aambae na hiyo rough road aende nayo Hadi majumba sita...akaitafute njia ya segerea Kwa huko.
Ikiisha hii njia ya vingunguti itakua msaada mkubwa sana.
Ikiisha na ya majumba sita itakuwa poua Zaidi. Na hapo majumba sita Kuna ujenzi pia unaendelea huwezi kuingilia kupitia barabara ya gongo la mboto.
Ni lazima uingilie vingunguti Kwa wenye magari wanapita rough road. Kuanzia vingunguti
Mkuu hii barabara haina ujanja,labda mungie opposite roafSikuwahi kupata shida nikiwa hapo kwa chalamila .
Nikifika ni mwendo wa kumpanga mwanangu wa ambulace la hospitali fulani la serikali sisi ni mwendo wa ving'ora tu popote nafika kwa muda nitakao .
Nb :Tafuteni connection na madereva wa ambulace hamtakuja kujutia
Hakuna hata dalili ya kukamilika. Wanatesa watu tu. Inakera sana.Barabara mchepuko za vingunguti kutokea baracuda na majumba- kinyerezi ujenzi wake ukiisha utasaidia kupunguza foleni
Kile kipande ni mateso sana,nchi za kueleweka raia mna uwezo wa kuishtaki serikali mahakamaniHakuna hata dalili ya kukamilika. Wanatesa watu tu. Inakera sana.