Foleni ya leo barabara ya Mandela sio poa

Juzi ndo nimeamini foleni inakula mafutaaa 😀 😀 😀 unakaa foleni mpaka unakuwa unazima gari maana ni kama gari inatembea gauge inashuka tu
😃😃😃 ubaya na foleni nayo haitembeii
 
Ile njia ya vingunguti yenyew kumbe ina uafadhali bora niwe napitia hio
 
Mzee, kwani Hilo gari kila muda una Beba familia ?

Unakuwa na gar pia piki piki... Unatumia chombo X kutegemea na mazingira ya barabara ya hiyo cku
kiukweli ushauri nimeuchukua,pikipiki itanisaidia kupunguza budget ya ngwese na muda pia.
 
*****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mzee. Naelewa hiyo kitu mzee. Unakaa barabarani hadi unahisi umetekwa au dunia imesimama huko nje.
 
Barabara yenye foleni kubwa toka nije Dar hii Mandela Road ni kiboko hii ndio inapaswa kua njia nane hata ile flyover ya pale Tazara haisaidii chochote.
 
Hapa ni ujenzi ukamilike foleni itapungua Saaan,wenye private car wanaotokea maeneo ya buza,mbagala au bandarini kama wanaelekea tabata hii njia ya vingunguti ikiisha itapunguz wingi watu kupotez muda kweny folen ya tabata.
 
*****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mzee. Naelewa hiyo kitu mzee. Unakaa barabarani hadi unahisi umetekwa au dunia imesimama huko nje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu ulikaa muda gani ww
 
Sikuwahi kupata shida nikiwa hapo kwa chalamila .

Nikifika ni mwendo wa kumpanga mwanangu wa ambulace la hospitali fulani la serikali sisi ni mwendo wa ving'ora tu popote nafika kwa muda nitakao .

Nb :Tafuteni connection na madereva wa ambulace hamtakuja kujutia
 
Mkuu hii barabara haina ujanja,labda mungie opposite roaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…