Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
Foleni inasogea kwako?Tupumzishe Kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Foleni inasogea kwako?Tupumzishe Kidogo
KiruMasikini mtuachee jamani 😀
Mshatusema sana, msituweke na huku
Pole bossDah! Ngoma ngumu sana, mapenzi yanazingua mno
jinaIla nafundisha youtube uje
Kwahiyo unataka kuchepuka ukawapite au
Foleni haisogei sio?
Bando la kutetea haki za masikini wenzangu mitandaoni..😷Kiru
Maskini uko na bando la kuingia
Money starsjina
AiseeNdio njia pekee ya ku deal na foleni
Namna hii folen haiendi
Sauwa taajiriBando la kutetea haki za masikini wenzangu mitandaoni..😷
Umebet umepata ngapInaenda tu sana ila inategemeana umekutana na nani.Cha msingi mapenzi ni kama ku.. bet.
UweeeMAPENZI MAPENZI HAYANAGA FORMULA HAYA
View attachment 2971263