Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mie afisa mtendaji kata kakataa fomu anasema wao wameambiwa wapokee barua za maombi na sio fomu..
Halafu kaingangania barua yenyewe anasema wao pale kata ndio wanzichukua kisha wanazipeleka!!! Nimechukia kama nini!!
Eti mie afisa mtendaji kata kakataa fomu anasema wao wameambiwa wapokee barua za maombi na sio fomu..
Halafu kaingangania barua yenyewe anasema wao pale kata ndio wanzichukua kisha wanazipeleka!!! Nimechukia kama nini!!
hata liafisa la kwe2 limegoma.
we unatakiwa kupeleka kwa afisa mtendaji wa mtaa halafu kwa afisa mtendaji wa kata ndyo zinapokusanywa.
Nimefanya hivo.Sema kakataa kupokea fomu kasema tuandike barua za maombi. Ikabidi tuandike.Halafu kasema tuattach na vyeti vyetu tukafanya hivo. Kisha akasema eti wao kata ndio watafanya mchujo zinazofaa watazipeleka wilayani kwa hiyo sio zote zitaenda. Na amesema turudi baada ya wiki moja kuangalia majibu.
Kuna umuhimu wa kuajiri watu wenye shahada maana hawa wazaman walioajiriwa hawajielewi
Hizi ajira mboona tutapigana vikumbo? walimu walivyowengi mpaka waishe ndo tuje tufikiriwe na form six leavers. Au kila mtu atakuwa anamhesabu mwenziye!
Malipo ni sh ngapi hiyo kazi?
Ila kweli wadau kama unauwezo wa kuwa katika ile top rank za mpango mzima wa sensa then you might get(sio kama utapata) otherwise huwezi pata kipato kikubwa hivyo.Mwanzo priorities walikuwa walimu,utandawazi huu walimu wamewekwa pembeni,poleni mungu ataonyesha njia lakin
.
Mshahara ni bei gani jaman?
Malipo ni sh ngapi hiyo kazi?
Ni pesa nyingi ila mpaka ikufikie wewe mpiga kazi ni Tsh 100,000/= ....... Sipati picha unapangiwa kuhesabu watu MTAA WA KONGO
Dah!hapo Kuna unayo
vyovyote itakavyo kuwa,ila wenye ajira ingekuwa ungwana kama kwa hili mungetuachia vijana ambao hatuna ajira,najua munapata ujumbe huu (walimu ,askari na wengineo)