Fomu kwa wale wambao wanataka ukarani kwenye sensa ikiwemo waliomaliza chuo lakini hawana ajira


Haki ya nani WALIMU HAWAGOMI NG'OO! ULAJI UMEWATEMBELEA!
 
Hii Kitu Shehe Ponda si ameshalipeleka Mahakamani Hakuna Sensa Jamani tafuteni kazi Zingine huku mkisubiri Hukumu ya mahakama ambayo uchunguzi wa Polisi unachukua muda mrefu ili wapate majibu ya uhakika... so hii inaweza chukua kama mwaka mmoja fulani
 
Ishapigwa chini kabla hata haijafika mahakaman
 
Hii nchi inanipa raha sana!
Kwa wale tulioko Kilimanjaro imekula kwetu kwani ma-DED wa huku washakamilisha mchakato wa kupata watu!
Walishatanga tokea mwezi wa 5, Kinachofanyika ni formality utatuma ila hutopata mkuu!
Uongozi DHAIFU
serikali DHAIFU

Mkuu mbona mimi niko moshi mjini na nimeshajaza form ila sijasikia kitu kama hicho.vip kwan wewe uko wilaya gani?
 
Mkuu mbona mimi niko moshi mjini na nimeshajaza form ila sijasikia kitu kama hicho.vip kwan wewe uko wilaya gani?

Arusha yenyewe issue wameshapewa waalimu....wanakamilisha tu mchakato.
 
mwenye nacho hatosheki....hata iweje,jamani japo kwa hili tunawaomba wenye ajira wachieni ambao hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…