Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Utopolo wangepewa odds 20Hii ni aibu 5imba kapewa odds 7
Utopolo wangepewa odds 20
kidimbwi oyeeeHii ni aibu 5imba kapewa odds 7
Dole limezama kwake anaugulia maumivu tu huko aliko kapigwa cha mkweziMleta mada uko na khali gani? 🤣🤣🤣🤣
"Kubugia idadi kubwa ya magoli"........uto kama uto, vyura kama vyuraKatika mechi mbili za mwisho za ligi ya mabingwa afrika, As Vita ameibuka na ushindi wa goli 4-1. Hii inaashiria jamaa wakiwa uwanja wa nyumbani ni wakali sana, hivyo Simba leo wanatakiwa waingie na tahadhari kubwa sana, vinginevyo hali itakuwa mbaya.
View attachment 1700484
Hata katika makampuni ya kamari, As Vita kapewa odds chache kulinganisha na Simba aliyepewa odds nyingi.
View attachment 1700486
Naona kabisa leo kuna timu inaenda kubugia idadi kubwa ya magoli[emoji23]
Haya rudi ututajie hiyo idadi ya magoli, mjinga mkubwa weweNaona kabisa leo kuna timu inaenda kubugia idadi kubwa ya magoli[emoji23]
Unalo lingine la kuongeza?Katika mechi mbili za mwisho za ligi ya mabingwa afrika, As Vita ameibuka na ushindi wa goli 4-1. Hii inaashiria jamaa wakiwa uwanja wa nyumbani ni wakali sana, hivyo Simba leo wanatakiwa waingie na tahadhari kubwa sana, vinginevyo hali itakuwa mbaya.
View attachment 1700484
Hata katika makampuni ya kamari, As Vita kapewa odds chache kulinganisha na Simba aliyepewa odds nyingi.
View attachment 1700486
Naona kabisa leo kuna timu inaenda kubugia idadi kubwa ya magoli[emoji23]
Na Kesho wanakeketwa huko Mbeya.Utopolo fc bila kupigwa pipe hua hawaelewi.