Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Katika mechi mbili za mwisho za ligi ya mabingwa afrika, As Vita ameibuka na ushindi wa goli 4-1. Hii inaashiria jamaa wakiwa uwanja wa nyumbani ni wakali sana, hivyo Simba leo wanatakiwa waingie na tahadhari kubwa sana, vinginevyo hali itakuwa mbaya.
Hata katika makampuni ya kamari, As Vita kapewa odds chache kulinganisha na Simba aliyepewa odds nyingi.
Naona kabisa leo kuna timu inaenda kubugia idadi kubwa ya magoli[emoji23]
Hata katika makampuni ya kamari, As Vita kapewa odds chache kulinganisha na Simba aliyepewa odds nyingi.
Naona kabisa leo kuna timu inaenda kubugia idadi kubwa ya magoli[emoji23]