Fomu ya AS Vita Club akiwa uwanja wa nyumbani

Sisi tumeshavuna point zetu 3, hatujaangalia kama alivuna 4-1 akiwa kwao, tumempiga hapo hapo kwao.
 
Utopolo katika ubora wako
 

Sasa si olewa tu ili uvae Vijora uweze kuchamba vizuri
 
Renzo una bahari mbaya!! Utakimbia nyuzi zako mwenyewe zote!! Mwisho wa siku utakimbia jamii forum jumla!!
Subiri kujiliwaza jioni huko mbeya japo pia ni majaliwa!!!
Saa huko mlikojificha mnasema Vita hii ni ya kawaida Sana kwa kuwa imeuza wachezaji!! Kwani ulipokuwa unatabiri Simba kubugia idadi kubwa ya magoli hukujua kuwa Vita imeuza wachezaji? Hata hivyo kwani imeuza wachezaji juzi kabla ya mechi? Ilipokuwa inafunga timu 4-1 ilkuwa haijauza wachezaji? Kwani Kuna timu isiyouza wachezaji? Mbona hata Simba imeuza wachezaji? Kwani Okwi yupo? Pole Sana Renzo, ushauri wangu kwako, ukitaka usalama kwa Simba hii acha wivu, vinginevyo utateseka Sana!!!
Dawa ni kukubali tu kuwa Simba ni baba lao na kuachana na wivu! Simba ni next level!!
 
Utopolo team lao la 67 huko kwa ubora na hawana hata nafasi ya kuweza kuongeza points. Badala hata wajadili wanatokaje walipo kazi kuangalia washindani wa Simba wakoje na kuja na kejeli lukuki. SIMBA inachanja mbuga. Mwaka kesho tutakua ndani ya kumi bora nyie mtakua 89 .
 
Una shakha
Una shakha una shaka una shakha

Na Yanga ya Sportpesa na
Na naaa Braaaaaaaaaaand
Chapa GSM?

πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…