Unataka kumpiga sio [emoji2][emoji2][emoji2]Nipigie nikuelekeze stationary zinakopatikana form
it is Stationery and not stationary,when speaking of stationary the reference is made to something immovable,the word originates from the word station.Nipigie nikuelekeze stationary zinakopatikana form
Je hiyo haki ya kugombea ikoje? Vigezo na masharti yake yakoje?Wakuu habari zenu.
Samahani naomba kufahamishwa utaratibu wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya Spika iliyoachwa wazi na Job ndugai kupitia chama cha Mapinduzi - CCM upoje?
Form zinaanza kutolewa lini , na je mtu yeyote anayejiona ana sifa na ni mwanachama wa CCM anaweza kugombea ?
Natanguliza shukrani za dhati nikiamini kuwa JF kuna wajuzi na mtanisaidia kunipa mwelekeo wa maswali yangu .
ASANTENI SANA👏🏼