Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Alafu wanasema eti Mbowe ni dikteta, wakati dikteta wanae huko kwao!Sio wale walio "printi" fomu moja
@Bia yetu umechelewa kiidooogooo. Umekuwa wa tatu ku- comment!Chadema mtaacha lini maigizo
Barua waliziandika wanaotaka kugombea uraisi zilikuwa za Nini? Mbona mna usumbufu nyie Chadema mara ohh anayetaka kugombea uraisi aandike barua utafikiri anachumbia watu wakaandika akiwemo Lisu Mara ohh fomu za mtaka kugombea zinaanza kutolewa Leo!! Mbona hamueleweki mna wazimu au? Zile barua kazi yake ilikuwa Nini?Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Kwa Urais wa Zanzibar, watachukulia Makao Makuu, Kisiwandui, Unguja-Tumaini Makene on twitter
Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!Chadema mtaacha lini maigizo
Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!
Chadema kuna tatizo
Wewe lofa umri unaenda huoo!! Bado hujielewiChadema mtaacha lini maigizo
Kwahiyo barua ya kuomba uteuzi(kama kweli walitakiwa kuandika hizo barua) ndio mbadala wa fomu?Ulisoma shule gani wewe?Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!
Chadema kuna tatizo
Alafu wanasema eti Mbowe ni dikteta, wakati dikteta wanae huko kwao!
Fomu za kuomba kuteuliwa na chama ni tofauti na kutangaza nia ya kugombeaBarua waliziandika wanaotaka kugombea uraisi zilikuwa za Nini? Mbona mna usumbufu nyie Chadema mara ohh anayetaka kugombea uraisi aandike barua utafikiri anachumbia watu wakaandika akiwemo Lisu Mara ohh fomu za mtaka kugombea zinaanza kutolewa Leo!! Mbona hamueleweki mna wazimu au? Zile barua kazi yake ilikuwa Nini?
Lichama haliko organized hovyo kabisa
Mbona ccm walitangaza uchaguzi huru, Lakini tayari wana mgombea wao?Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!
Chadema kuna tatizo
Chadema kwenye procedures na organization wako zero pamoja na kujitia ohh Wana wanasheria nguli Koko Kama Tundu lisu Ina maana hata Tundu Lisu na uanasheria wake Koko hakujua kuwa kuomba kugombea Uraisi Chadema unatakiwa uchukue form yeye aliibuka Tena hadi mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ohh nimeandika barua kamati kuu ya kuomba kugombea uraisi kupitia Chadema!!!! Mwanasheria asiyejua hata taratibu za chama chake za kugombea uraisi Tena Makamu mwenyekiti Chadema taifa Halafu kichwani yuko zero hajui taratibu za chama aiseeerr!!! Very interestingKumbe kina Msigwa na Lissu walianza “kutangaza nia” kwa hotuba nzitonzito kabla ya kuchukua form?
Kwa hiyo hata ambaye ni nje ya wale waliotia nia awali ni ruksa kuchukua form?
Lengo la kuwapa wiki mbili za kujitokeza kutia nia ilikuwa ni nini?Kila mwanachama ana haki sawa, Ili mradi tu afuate taratibu za chama