Uchaguzi 2020 Fomu za kugombea urais kupitia CHADEMA, zaanza kutolewa. Wanachama wahimizwa kuchukua fomu

Kunywa maji upunguze jazba mkuu..kila chama kina utaratibu wake...kwnn ninyi mmeprint form moja tu ya urais??
 
Kwahiyo barua ya kuomba uteuzi(kama kweli walitakiwa kuandika hizo barua) ndio mbadala wa fomu?Ulisoma shule gani wewe?
Waliandika na wakaongea hivyo mbele ya vyombo vya habari vya ndani na nje ina maana Hadi Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa chadema taifa hajui utaratibu wa chama kuwa ukitaka kugombea hutakiwi kuandika barua unatakiwa uchukue form?

Chadema mbona mko hovyo Hivyo ina maana Tundu Lisu Ni kilaza!!! Ni Makamu mwenyekiti asiyejua hata taratibu za chama chake mwenyewe!!!! Mnajua tukiwambia Chadema hamna akili hatutanii

Mna uelewa mdogo mno akiwemo Tundu Lisu
 
Polex2: Hali ni tete! wametia nia tena wengi sana! sasa tufanyeje?

Mungu Yesu: Kamata yeyote anayefanya mikutano nje au ndani. Hadi wakasirike watumie nguvu ya uma kuleta fujo! niwashughulikie haraka halafu nifute na huu uchaguzi. waereze maarapisi wote wafanyie kazi hilo. Mimi siwezi kuzuiliwa wakati nimeipeleka nchi uchumi wa kati. Nasema zuia mikutano yao yote. Yatachoka tu halafu yafanye fyoko niyashughulikie.

Watanzania ndiko tunakoelekea! trust me!
Mikakati ni muhimu!

 
Nguvu ya Umma itaamua kama uchaguzi uwepo au usiwepo.
 
Mwendawazimu kalalel, Mambo ya chadema yanakuhusu nini?
 
Kwanini hamkumruhusu membe kugombea uraisi?
Acheni unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…