Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

ALPHA2012

Member
Joined
May 9, 2012
Posts
12
Reaction score
8
Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje?

Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba.

Kwa sasa kwenye account yangu inbox inasoma kuwa you can NOT reject or cancel your admission at this time.

Msaada please
 
Asante sana kwa jibu hilo. Kesho itabidi nichungulie tena inbox.
 
Soma hapo

Screenshot_20231019-162129_1.jpg
 
Back
Top Bottom