Fomu za kurudia mtihani Kidato cha Nne - Tsh. 10,000.

Fomu za kurudia mtihani Kidato cha Nne - Tsh. 10,000.

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Nimesikia kupitia redio moja ya Mkoani Iringa (bila kukosea ni Ebony FM) ya kwamba Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa fomu za kurudia Mtihani wa Kidato cha Nne - 2012 kwa wanafunzi waliopata Daraja Sifuri, fomu hizo zinauzwa kwa gharama ya Tsh. 10,000. Kuna vituo maalumu vimeteuliwa kwa ajili ya mauzo. Kwa Mkoani Iringa, fomu hizo zinapatikana hapo Ebony FM.
Kwa mikoa mingine sijui nini kinaendelea, ila mnaweza kuijuza jamii ya Kitanzania. Hii ni fursa nyingine tena kwa wale walioangukia pua ya kujinasua.
 
mi pia nimesikia lakini kama ndvyo kwanini daraja o tu? kwani frusa hiyo ni mhm hata kwa wale wenye div.4 zisizo na viwango vya point nzr.kwenye tovut ya necta na moe sijaona tangazo hilo na kwa m2 mwenye kufikiri sana unaweza ukabaini kuwa leo ni tar.1-4-2013 CHUNGUZA KUNA MAADHIMISHO AU SIKUKUU GANI LEO? UKIJUA HILO UTAFIKIA MAAMUZI YA BUSARA YA KUFUATILIA FOMU AU LAA! leo ni ck ya wa...ga
 
Hata mimi niliwaza kama wewe, ila kwa kuwa si mambo yote huwekwa kwenye mtandao wa Wizara, nikaona bora niiweke hapa. Ila kama hao Ebony wameona kuwadanganya Watanzania, itakuwa wamefanya moja ya dhambi mbaya wa jamii.
 
hkna kitu kma hcho post wik ijyo n nyie mnawaza kurudia wd kma una o rudia fm two piga shule ndo maisha
 
kama ulipata ziro ni vigumu sana kufanikisha kwa miezi michache, umesoma miaka minne umepata ziro unafikiri unaweza kufanikisha kwa miezi iliyobaki? kwa ushauri wangu naona kwa watu waliopata ziro waanze kidato cha pili au cha tatu ili wapate muda mrefu wa kujiandaa.
 
Back
Top Bottom